nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,285
- 3,253
chupi za wazito wa ccm hizi zikiwa kwenye kitchen party.....LOL..Shyrose akikwaluzana na wapambe wa Sophia Simba Wapambe wa Mgombea Uenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania, Sophia Simba wakimfukuza mjumbe mwenzao wa mkutano mkuu wa jumuiya hiyo,Shyrose Banji (kushoto) baada Mgombea huyo na Shyrose kurushiana maneno ndani ya Ukumbi Chuo cha Mipango, mjini Dodoma ulipokuwa ukifanyika uchaguzi huo. Kulia ni Sophia Simba akitaka kuinuka kwenda kupambana na Shy-Rose.
Yaani hawa magamba....kuanzia vijana, wazee...na sasa wanawake. Dah!
sasa hawa ni akina mama wa nyinyiem sasa usiombe ukutane na binti zaoShyrose akikwaluzana na wapambe wa Sophia Simba Wapambe wa Mgombea Uenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania, Sophia Simba wakimfukuza mjumbe mwenzao wa mkutano mkuu wa jumuiya hiyo,Shyrose Banji (kushoto) baada Mgombea huyo na Shyrose kurushiana maneno ndani ya Ukumbi Chuo cha Mipango, mjini Dodoma ulipokuwa ukifanyika uchaguzi huo. Kulia ni Sophia Simba akitaka kuinuka kwenda kupambana na Shy-Rose.
Yalitokea wapi kwingine zaidi ya hao wakinamama wa UWT.Vitu vya kawaida kwenye siasa.
simba 716, kilango 310, majige 7
Shyrose akikwaluzana na wapambe wa Sophia Simba Wapambe wa Mgombea Uenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania, Sophia Simba wakimfukuza mjumbe mwenzao wa mkutano mkuu wa jumuiya hiyo,Shyrose Banji (kushoto) baada Mgombea huyo na Shyrose kurushiana maneno ndani ya Ukumbi Chuo cha Mipango, mjini Dodoma ulipokuwa ukifanyika uchaguzi huo. Kulia ni Sophia Simba akitaka kuinuka kwenda kupambana na Shy-Rose.
mbona sioni dalili za sofia simba kumshambulia banji?duu kuna watu kwa kuyakuza
mbona huyo sofia simba hana dalili za kuinuka kwenda kumvaa shyrose au sijui kusoma gestures,haaaa haaa exagaration teh teh
Shyrose akikwaluzana na wapambe wa Sophia Simba Wapambe wa Mgombea Uenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania, Sophia Simba wakimfukuza mjumbe mwenzao wa mkutano mkuu wa jumuiya hiyo,Shyrose Banji (kushoto) baada Mgombea huyo na Shyrose kurushiana maneno ndani ya Ukumbi Chuo cha Mipango, mjini Dodoma ulipokuwa ukifanyika uchaguzi huo. Kulia ni Sophia Simba akitaka kuinuka kwenda kupambana na Shy-Rose.
Huyu mama wanampendea nini mbona hata kwenye campain za ccm huwa simwonagi au kazi yake haimruhusu.
Ujumbe ni kwamba mwanamke hata asome kiasi gani, apewe cheo kikubwa mno yaani cha juu, bado ata-behave kama a girl child; na mbaya sana wanawake wakikusanyika sehemu bila wanaume basi mambo yanakuwa shaghala baghala. Je, ni sahihi kuwaweka wengi wa hawa kwenye ngazi za juu za maamuzi?!
Kama wote hawa ni watoa na wapokea rushwa, vita ya rushwa itaisha kweli?!