Picha 3 ZA WEMA NA AUNT EZEKIEL WAKIKATA 'MAUNO'

Fani ya uigizaji sasa imevamiwa na vituko,vioja na vimbwanga,nataka nitoe tofauti kidogo juu ya waigizaji wa sasa na wazamani,nadhani wengi tunamtambua mzee small,bi chau,mze onyango,mzee kipara,mwita maranya,mzee mzuzu na wengineo wengi,walikua wakifanya kazi ya maana na c rahisi kusikia yakua anaskendo mbaya mtaani au kafanya tukio la ajabu na kutolewa kwenye maghazeti kwa sifa mbaya ila kwa uzuli tu,na kama yanatendeka haya kamati husika na uongozi kamili unasema nn?juu ya matukio ya ajabu kama aya yanayo zidi kutokea zidi ya hawa waigizaji wetu bila kuwasahau waimbaji wa sasa waitwao wabana pua eti bongo fleva,jamani tubadilike.
 
watoto wadogo sura kama wazee,..kumbe ule mchezo unazeesha!!au hiyo mi-gordon?
 

wemanaauntmauno3.jpg

Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wakikata mauno.

Mpango mzima ulitokea hivi karibuni katika arobaini ya mtoto wa dada yake Wema iliyofanyika Sinza Kwa - Remmy, jijini Dar ambapo Aunt pamoja na baadhi ya wasanii walifika kusherehekea sherehe hiyo ya kumtoa mtoto.
wemanaauntmauno2.jpg

...Warembo hao wakiwa katika pozi.
Awali, Wema alionekana akimtunza fedha pamoja na mikufu ya dhahabu yenye thamani kubwa na ilipoisha sherehe ya maulid ndipo mastaa hao waliwasha muziki na kuanza kulisakata rumba.
“Sisi tumecheza tumefurahi tu hawa waliofunga mtaa kututazama watakuwa wanataka kuona mavituzi yetu,” alisema Wema.


...Wakizidi kumwaga radhi.
eti ndio ceo huyo ha!ha!ito ofisi yake itakuwa ni ya kupingia umbea na kucheza kama ivyo tuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiaaaaaaaaaaaaa
 
Aunt Ezekiel ni balaa akiwa ndani 6 x 6.. Mciniulize nimejuaje but habari ndo hiyo.. Ninamuheshim sana kwa hilo na nitaendelea kumpa a big respect.. Sifa zake zilivuka mipaka.. Mnadhani ndoa ya bure hiyo.. Jamaa kacikilizia akasombwa.. Na haswa akishapata kitu kidogo kichwani.. Ninamuombea sana afanikiwe maana ingawa watu wengi wanamchukulia kama kamalaya fulani ila ukweli kichwa chake kina mipango mingi mizuri ya maendeleo ..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom