Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,392
- 289,522
Inaonekana ni kweli mashabiki wa yanga wameamua kuvaa vikaputula , lakini ni kwanini wavae vazi la namna hiyo lisilo hata na chembe ya heshima mbele ya wageni Zesco ?
Kuumbeeeee !!!Wanamuunga mkono msemaji na mdhamini wao Zahera