Pitia hizo, nimekupa hizo kwa uzoefu wangu ,pitia sana practical zote za aina ya pendelum na hookes law,
Dk 5 ushamaliza swali, zinafojika haraka sana,
Swali la pili pitia maswali hasa ya kutafuta refractive index , kama unajua nalo linafojika
Kama hulipend ,swali la tatu huwa la umeme, hapo hasa pitia ohms law, na kutafuta internal resistance of cells