Most of my projects nimehifadhi locally,japo baadhi nataka nizihamishie in my Github account as open source, sijafanya real project yoyote bado ambayo ipo hosted,thus why nimekuja kuomba connection ya sehemu ambayo nitaweza build real business application projects.Project gani ambayo umefanya? Share hapa
Naweza tengeneza app na website pia,projects zangu nyingi nimezi host locallyUnatengeneza App? una kazi yoyote uliyowahi kuifanya?
Noted, Send your whatsapp number DMNaweza tengeneza app na website pia,projects zangu nyingi nimezi host locally
Bado sijafanya real business project ambayo ipo hosted somewhere, au play store
Thus why nipo hapa,Ila unaweza nipa task ya kutengeneza website au app kabla hujanishika mkono just to test my ability, shukrani
Shukrani kiongoziNoted, Send your whatsapp number DM
Most of my projects nimehifadhi locally,japo baadhi nataka nizihamishie in my Github account as open source, sijafanya real project yoyote bado ambayo ipo hosted,thus why nimekuja kuomba connection ya sehemu ambayo nitaweza build real business application projects
Ni vigumu MTU kukupa kazi yake unless umpe kazi ulizofanya tayari,na wewe unajikuta upo kwenye hatua ya kwanza ya Ku build networks ya clients, "egg - chicken problem"
Shukrani kiongozi kwa ushauri wako,nitaufanyia kaziSometimes unaweza kufikiria kitu ukatengeneza then ukaenda nacho kwa mtu au company ukamkonvince...Mimi i remember my first money kupitia app nilitengeneza app ya kustream radio online ilikuwa ni redio ya mkoani huko nikachukua stream url na nikasngalia web yao nikachukua ratiba za vipindi then nikatengeneza app,ilivyoisha nikawapigia simu kwamba kuna app nimetengeneza kwa ajili ya radio station yenu basi wakawa intrested wakaichukua,pia wakanipa hela 400k japo kwa kuanzia ilikuwa sio mbaya..so sio lazima huwe hata umepublish just tengeneza kitu chako then show people huwezi jua kuliko tu kuandika natafuta kazi maana wanaotafuta ni wengi
Nashindwa view profile yako kiongozi, I hope ujumbe umefikaNoted, Send your whatsapp number DM
Asante kiongozi nitafanya hivyoMkuu hizi local project zako zipublish iwe rahisi mtu kuona uwezo wako. Tumia github, netifly, heroku etc wanatoa free hosting
Mungu yupo nasi bro.Great tutatoboa
Wewe kazi yako ni ya kuonekana sio ya maneno matupu. Jitahidi kila unavyoweza uwe na kitu cha kuonyesha kama una uwezo mzuri basi kazi utazikimbia mwenyewe.Asante kiongozi nitafanya hivyo
Hapa ndipo vijana wetu wa Kitanzania mnafeli vibaya sana. Huwa mnatumia hizi nafasi kama launching pads kuelekea kwenye mambo yenu. Yaani unafanya kama mkato wakati unaelekea kwenye nukta.Bila kuwa na kazi zozote ulizofanya ni ngumu kujiajiri, watu hawawezi kukuamini,natafuta sehemu nitakayo simama kwanza
Nimekuelewa sana mkuuHapa ndipo vijana wetu wa Kitanzania mnafeli vibaya sana. Huwa mnatumia hizi nafasi kama launching pads kuelekea kwenye mambo yenu. Yaani unafanya kama mkato wakati unaelekea kwenye nukta.
Unakuta kijana wa namna hii mwajiri anamchukua anamfundisha kazi na anapoanza kujua vitu, anaacha kazi au anaangalia kazi "inayolipa" zaidi na kusahau kabisa kwamba biashara anayoikimbia imemkuza na ku invest sana kwake na kwamba sio to anaitia hasara bali anafunga milango kwa wenzake wanaokuja nyuma yake.
Inabidi vijana wetu mbadilike. Msiwe overly ambitious. Kusimamisha biashara na kujiajiri si lelemama kama mnavyodanganyana most of the time chuo. Huku ground hali ni tofauti!
Kwa sababu wewe ni fresh bado una nafasi. Tafuta mahali amabako utakaa angalau kwa miaka 5 (Min time ya kujifunza mpaka kujua vizuri hii field ni angalau 3.42 years, approx 3 yrs 6months). Hapo utajifunza mengi sana. Baada ya kumaliza 5years jiulize kama unataka kutafuta kazi bora, unataka kubakia ama unataka kujiajiri. Kwako choice itakuwa as clear as light.Nimekuelewa sana mkuu
Shukrani kiongozi, Nitaufanyia kazi ushauri wakoKwa sababu wewe ni fresh bado una nafasi. Tafuta mahali amabako utakaa angalau kwa miaka 5 (Min time ya kujifunza mpaka kujua vizuri hii field ni angalau 3.42 years, approx 3 yrs 6months). Hapo utajifunza mengi sana. Baada ya kumaliza 5years jiulize kama unataka kutafuta kazi bora, unataka kubakia ama unataka kujiajiri. Kwako choice itakuwa as clear as light.
Kwa sasa utakuwa unabahatisha tu kama mtu anayepapasa kwenye chumba chenye giza akimsaka paka mweusi ambaye kimsing hayupo chumbani!