jaman,nawezaje kujifunza hii frameworks inaitwa codeigniter???
nimeangalia videos zake zote bado cjaelewa.
embu mwenye njia rahis kwa jins gan naweza anza anisaidie jaman
jaman,nawezaje kujifunza hii frameworks inaitwa codeigniter???
nimeangalia videos zake zote bado cjaelewa.
embu mwenye njia rahis kwa jins gan naweza anza anisaidie jaman
Kama alivyokujibu mdau hapo, sio poa kuanza kujifunza programming kwa kutumia framework. Kwanza anza na kujifunza PHP yenyewe, halafu jifunze kutengeneza custom PHP framework from scratch, hii itakuwezesha kuzijua building blocks of any Framework.
jaman,nawezaje kujifunza hii frameworks inaitwa codeigniter???
nimeangalia videos zake zote bado cjaelewa.
embu mwenye njia rahis kwa jins gan naweza anza anisaidie jaman
Assuming tayari unasoma hii kitu ukiwa na Profound Knowldge mpaka ya Object Oriented Programming kwenye PHP, Yaweza kuwa content unazo sikiliza ni Poor!
ila yawezekana pia utakua unasikiliza tu Video bila kupitia pia documentation zao,ukisikiliza lets say video ya Model,View au controller lazima urudi pia kwenye documentation uone wanasema vipi?
Pia kama umesikiliza video ambayo inafundisha basics za hiyo framework ingependeza utafute videos ambazo zina develop real world application!
Kama mambo bado hayaeleweki kabisa ingependeza labda ujaribu Laravel its the widely used Framework na nshaona content zake Free na nzuri sana youtube na codecourse.com una develop na youtube clone kabisa!