kubadilisha maneno ni rahisi as a,b,c kwa kutumia photoshop, tumia 'stamp' tool kufuta maneno yaliyoandikwa then unaweza andika yako.
Hiyo ramani ya Tanzania ni ngumu sana kuichakachua kupata unachokihitaji, kwasababu size ya ramani ni ndogo mno, nakushauri google image search ya ramani ya Tanzania, na upate large size ambayo ukiichakachua haitaharibika. ukishindwa ni PM nikupe email yangu ntakusaidia.