photoshop extreme challenge

kama bwana shiny c unataka tufanye challenge lazima kujipanga kwanza, maana atakuja watu8 au leh lazima tu watashinda ,
inahitaji maandalizi, nilikuwa na wazo la kuanzisha challenge ila nikaona hawatajitokeza wadau wengu nikaghairi, we sema unataka watu walete picha zao walizo edit ila kuna nyuzi kadhaa ambazo wadau walishafanya kama wewe

hebu angalia mashindano yanavyotakiwa kuwa
Worth1000 Contests
 
Last edited by a moderator:


haha, unanisifia sana bwana C6 wakati ukweli ni kuwa we ndo mwalimu wangu. umenipa na hamu ya kujaribu hata kama nilikuwa sitaki. nimependa sana hiyo ya e2themiza, ingekuwa real competition angepata kura yangu
 
Last edited by a moderator:
nina picha yangu moja shiny c, ambayo inafanainia na unachotaka, so nimeupload hii instead. nina group langu la fans wa mpira pale fb na ndo huwa naweka cover photos. nimetumia illustrator kutengeneza jina liga bbva na psd file yake hii hapa. ungesema watu waweke .psd files zao hapa kuonyesha authenticity ya kazi zao

 

Attachments

Last edited by a moderator:
e2themiza du unatisha kaka picha itansaidia jukwaa la michezo ngoja wadau wakupe lyk ama kwel we maneno machache ila kwa vitendoz upo gado
 
leh pcha yako noma but nakushaur utumie pcha ambazo nmeziweka humu na uzipige photoshop kama mkuu e2themiza, tuonyeshe your unique abilities
 
shiny c, umeweka picha za CR7 na Messi na mimi nimekuwekea picha iliyo na hao hao, jamani nn tena? duh..
 
Last edited by a moderator:

Dayuuumn love the logo mkuu, umetisha
 
leh kwenye uzi nlioanzisha kuna attachment mbili ya cr 7 na messi zidownload afu uzi edit kwenye phototsho by the way logo yako nimeipenda
 
[WIP] nikipata time nitarekekebisha zaidi. nataka hiyo radhi icheze na jina madrid na barca humu zinaingia but *sigh* its so complicated, sina hamu

asante @et2themiza na shiny c,


 

Attachments

[WIP] nikipata time nitarekekebisha zaidi. nataka hiyo radhi icheze na jina madrid na barca humu zinaingia but *sigh* its so complicated, sina hamu

asante @et2themiza na shiny c,



Awesome mkuu.. na kwl.. umefanya haya yote kwenye photoshop?
 
Awesome mkuu.. na kwl.. umefanya haya yote kwenye photoshop?

100% photoshop!! tofauti na logo liga bbva, mengine yote nimefanya viva PS. hiyo bomb nilitengeneza kwenye psd tofauti alafu nikafanya logo ya la liga iwe background, nikublur frame za mwisho tatu ili ilipuke..

nitatengeneza tutorial ya bomb nikipata nafasi
 
c6 unakaribishwa why not tena nadhani utaleta ushindani mnono sana
 
Hahaha...hapa nahisi kama kuna mtu anataka kurahisishiwa kazi au homework...

 
Last edited by a moderator:
Weka picha unayoitaka au unazozitaka, na background unayoitaka watu tufanye mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…