Given Edward
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 850
- 203
Hamna?
Kuna tutorial hii nzuri kwa ajili ya wale wanaopenda PhotoShop. inaelekeza jinsi ya kutengeneza Photoshop - Animated Text Shine Tutorial - iCombined | Together We Make it Shine kwenye photoshop. (sipendi copy & paste).
Photoshop - Animated Text Shine Tutorial - iCombined | Together We Make it Shine
Mkuu ni kweli hupendi copy and paste ? Mbona hiyo article hujabadilisha hata nukta na huja acknowldege chanzo?
Any way ngoja nitajiunga Icombine nijaribu kunyesha namna unavyoweza ku copy na kupaste, ukachakachua na ku aknowledge surce bil tatizo na ukaonekana proffesional
Tatizo kubwa la website owners bado ni contents na how to get user
Update
Mkuu mbona kama napata kiwao kwenye kuregsiter au ndio ushamba. Window ya kuregister najaza kila kitu mpaka CAPTCHA na Image Verification. Baada ya hapo sioni nifanyeje ili nisubmit registration form yangu. help
Mkuu kuna 'submit registration' button mwisho kabisa. Possibly system was being updated.
Mkuu kuna 'submit registration' button mwisho kabisa. Possibly system was being updated.
Javascript is not active, please activate Javascript for registration!
Nimekuwa tester wa system yako na hizi error inawezekana zimewakatisha tamaaa baadhi. . Nakupa feedback
Sasa nikikong'oli submiti button iunakuja ujumbe huu
Javascipt ipo enabled kwenye browser nayotumia. nimejaribu firefox na chrome ujumbe ni huo huo.