Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,190
DAUDI MWANGOSI alikosa nini? mpaka kuhukumiwa adhabu ya kifo na adhabu kutekelezwa haraka haraka na JESHI LA POLISI. D.M alikosa nini D.M alikosa nini? nakosa majibu mwenye kujuA NAOMBA ANIELEWESHE JAMANI
Hivi marehemu Daudi Mwangosi {R.I.P} alikuwa ni kada wa Chadema.
Hivi marehemu Daudi Mwangosi {R.I.P} alikuwa ni kada wa Chadema.
Siasa bana, kifo kinakuwa mtaji wa watu kisiasa, eti kafa kishujaa!
Siasa bana, kifo kinakuwa mtaji wa watu kisiasa, eti kafa kishujaa!
aisee, kwahiyo ilikuwa ni lazima auawe sio?Hivi marehemu Daudi Mwangosi {R.I.P} alikuwa ni kada wa Chadema.
Hivi marehemu Daudi Mwangosi {R.I.P} alikuwa ni kada wa Chadema.
Kifo cha Mwangosi ni doa kwa SSM ambalo si rahisi kutakata hata kwa kutumia jiki. SSM haisafishiki kwa hili. Imeshakuwa maji taka.
Ni shujaa. Damu yake haitaenda bure
Siasa bana, kifo kinakuwa mtaji wa watu kisiasa, eti kafa kishujaa!
Doa kwani CCM ndio waliolazamisha mkutano?
Chama
Gongo la mboto DSM
Sawa anaweza kupiga picha, ila uandishi wa habari si kupiga picha tu. Inabidi awasikie walengwa na ikiwezekana kuwauliza maswali/ kuwahoji ili aandike habari kamili yenye ukweli na uhakika. Mahala pengine si pa kuweka ushabiki, Inasikitisha watanzania tunapoteza utu kwa ajili ya tofauti za kiitikadi.Mkuu Ritz;Nilishakuambia Mwangosi alikuwa kamanda pale kwenye lile tukio na ndio maana yalimkuta yaliyomkuta; kamera tulizonazo unaweza kupiga picha na kuchukua video zaidi ya mita 50 haniingii akilini eti mwandishi wa habari unakuwa ndani ya kiini cha tatizo; kwani habari zenyewe zilikuwa na umuhimu gani kitaifa mpaka ahatarishe maisha yake? Hao kina Msigwa wasanii tuu wape miezi 3 watasahau kila kitu; hivi wanajua familia ya Mwangosi wamekula nini leo?ChamaGongo la mboto DSM