Nairobi wana ufisadi na rushwa ila angalau wanafanya kazi unaiona
nenda Nairobi kwa sasa na uone walivyojiandaa na miundo mbinu yao
Na bado hivyo vision 2030 kama hakutakuwa na ufisadi kama wa hapa kwetu watakuwa mbali sana
Sisi kila siku daraja la kigamboni, mji mpya w akigamboni, mara mji mpya mchikichini unaishia kwenye makaratasi tuu hakuna linaloonekana
Tumezidi na michakato isiyokuwa na uhalisia