Kusaidia hiki kile kinaprint "picha za passport size" kwa haraka kwa dakika 3Mkuu ongezea ongezea maelezo kidogo kama vile kazi ambazo zinaonekana na zinazoweza kufanywa na hiyo machine.
Bila kusahau picha mbili/tatu
Asante
Picha aina gani
Haina tatizo lolote mkuu.Ipo safi sana.Ina tatizo gani mkuu
0716927054Number ya cm
Hiki ni kifaa cha kusafishia picha mkuu ambacho ni portable.Ukishapiga picha kwa digital camera unachomeka hii photoprinter unasafisha picha yako.Hii inasafisha picha mpaka ya ukubwa wa 4 kwa 6.Mkuu ongezea ongezea maelezo kidogo kama vile kazi ambazo zinaonekana na zinazoweza kufanywa na hiyo machine.
Bila kusahau picha mbili/tatu
Asante