M Mtimbichi
Member
- Feb 3, 2019
- 63
- 44
Nahtaji mtu wa kufanya naye partnership ili kusongesha life.
Mimi Nina printer ya kuprint picha Epson L 805. Nahitaji mwenye camera kali kwa ajili ya picha tuweze kushirikiane naye. Pia Nina ujuzi graphics design. Najua kuitumia adobe Photoshop na illustrator.
kama Kuna mtu anaweza kupata wateja tushirikiane tupige pesa tupunguze ukali wa maisha. Napatikana SINGIDA.