Photocopy ir 2520

Acha Dhambi

Senior Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
147
Reaction score
46
Nahitaji mashine ya copy aina ya canon IR2520 wauzaji tuwasiliane NB si used nataka mpya
 
budget yako ikoje ila nakushauri achana na canon zitakusumbua sana
Nimenunua IR2520 mpya mwaka jana. Nilishawishika baada ya kuona jamaa yangu anazo mbili, mwaka wa 4 huu na hazimsumbui kabisa.

Hii yangu hadi sasa imeshapiga copy+printing zaidi ya elfu 20. Sijaona tatizo lolote. Hata dogo.

Labda isumbue baadae.
 
Ukibahatika kupata mpya unamaliza miaka miwili bila hata kufanya service zaidi ya kutoa copy printing na scanning zaidi Labda ni kumwaga waste tu.
 
nazungumzia heavy duty photocopier m/c hiyo yako iko chini sana kwa kazi kubwa kubwa hata hivyo ukipata canon mpya inayotakiwa kuuzwa ulaya inakuwa imara pia
 
Na kwa wale wote wanao hitaji services za photocopier na printer afrotech ndo suluhisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…