tafuta camera wanaita saizi ya kati iwe Nikon au Cannone za kuchaji au za kuweka betri ni imara hizo na memory card au kama unataka kupiga kwa kutumia hizi Nikon 40D au 60D pia sawa ila gharama yake hizi ni kuanzia Laki Tano iyo saizi ya kati ni Laki Tatu ukitaka Camera inayo Rekodi matukio Nikon 3100,3200, 5200 na 90D katika Cannone zinazorekodi ni 550D, 1100D na hizo 5D na kuendelea ukipata Camera yoyote kwa majina hayo unaweza kufanya kazi pia upate hiti mashine ya printer kwa ajili ya kusafisha hizo passport size zako hiyo hiti inauzwa Laki tatu tuu..