Photo of the Day.

yote pia yanawezekana. matokeo yatasema ukweli. cha msingi tusubirie hiyo siku. tuombe uzima tuone yale tunayotaka kuyaona

Hili ndilo jibu la kisomi na siyo kusema kuwa kwakuwa fulani ana nyomi la kutosha basi ndiyo justification kuwa yeye ndiyo anakubalika na anapendwa na watu. Tanzania hakuna siasa za upinzani bali ninachokiona kitaalamu ni kwamba watu wana mihemko tu huku akili zao wakizipeleka likizo kiasi cha kushindwa kufanya tathmini ya kina ya mgombea wao kwa kupewa upofu wa kifisadi unaowazuzua sasa.
 

matokea yasema tu nani wafata mkumbuko na nani wao kweli. tatizo watu wanaongoza na hisia. uhalisia unatakiwa ndo utongoze ili tupate kile tunachotaka
 

Labda kwa goli la Maradona!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…