Photo of the Day.

Tena wengi wamepewa posho za serikali ili waje kwenye chama
 
tofauti kubwa sana hapo

Yeah inawezekana ikawa kweli kuna tofauti kubwa hapo lakini tambua ya kwamba scientifically huwezi ukahitimisha mtu fulani kupendwa kutokana tu na kuwa na umati mkubwa. Kuna factors nyingi ambazo pengine zinaweza kusababisha kuwepo kwa huo umati mkubwa na usishangae kukuta hao walio wachache kimwonekano ndiyo wakawa wakweli kutoka moyoni huku hao wengi unaowaona hapo wakawa ni wanafiki tu na wapo hapo kama ni sehemu tu ya kupotezea muda kama siyo kuondoa tu stress ya ugumu wa maisha pengine uliosababishwa na huyo huyo wanayemshangilia hapo. Sasa hivi kadri siku zinavyoenda ndiyo uwezo wa kufikiri na wa kuona mambo ya tija ya watanzania unaonekana.
 

yote pia yanawezekana. matokeo yatasema ukweli. cha msingi tusubirie hiyo siku. tuombe uzima tuone yale tunayotaka kuyaona
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…