Iyokopokomayoko JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 1,785 Reaction score 444 Feb 7, 2013 #1 Nauza printer Canon pixma ip4700 ina print picha, CD/DVD na paper printing. Ni used haina tatizo lolote utanunulia wino tu. Bei ni sh 200,000/=, Mwenye kuhitaji aseme nimpe mawasiliano au ni PM.
Nauza printer Canon pixma ip4700 ina print picha, CD/DVD na paper printing. Ni used haina tatizo lolote utanunulia wino tu. Bei ni sh 200,000/=, Mwenye kuhitaji aseme nimpe mawasiliano au ni PM.
Polisi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 2,082 Reaction score 644 May 21, 2013 #2 Mkuu naomba ukitoka kifungoni niambie tufanye hii biashara
M M2mishi JF-Expert Member Joined Mar 2, 2013 Posts 719 Reaction score 274 Apr 26, 2014 #3 Hiyo printer bado ipo mkuu?
Iyokopokomayoko JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 1,785 Reaction score 444 Apr 28, 2014 Thread starter #4 M2mishi said: Hiyo printer bado ipo mkuu? Click to expand... Ipo mkuu lakini siiuzi tena.