Yaah naona unapenda sana picha mkuu.Its my addiction how can I regret mkuu
Narekodi kila tukio hata hapa nilipo nimerekodiYaah naona unapenda sana picha mkuu.
Ndiyo mana nikauliza kama kuna mapito yako mhimu uliyopitia ila unayo tu kwenye kumbukumbu na hua unatamani ungekuwa na picha halisi?
Upo vizuri mkuu.Narekodi kila tukio hata hapa nilipo nimerekodi
View attachment 3403343
Nahisi alimaanisha kwamba ungekuwa professional photographer au niseme commercial photographers....Its my addiction how can I regret mkuu