Wadau za weekend
Siku za nyuma kidogo niliwahi kuona pahala kuwa kuna configuration ambazo waweza kufanya kwenye simu yako ili hata ikiibwa utaweza kutress na kijua ni nani anatumia simu yako kwa sasa. Naomba msaada as jana tu shemeji yenu wamekwapua ofisini kwake iPhone yake na hakuna matumaini ya kuipata. Ninalazimika kuanza kujihami sasa. Features hizo ni gani kwa samsung, iPhone na HTC. Thanking you in advance