Coutinho10 Member Joined Mar 18, 2015 Posts 9 Reaction score 0 Sep 1, 2016 #1 Wakuu kuna simu hapa sumsung s6 inalaini ya halotel kila ukijaribu kucheck/Kuongeza salio au kupiga simu inaleta ujumbe "Phone not allowed MM#6" tusaidiane wakuu jinsi ya kutatua ili tatizo.
Wakuu kuna simu hapa sumsung s6 inalaini ya halotel kila ukijaribu kucheck/Kuongeza salio au kupiga simu inaleta ujumbe "Phone not allowed MM#6" tusaidiane wakuu jinsi ya kutatua ili tatizo.