Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,353
- 26,194
Huenda hii ni breaking news kwako mkuu lakini habari za ujio wake tayari zilishaenea kwa wanazi wa soka...
Kilichokuwa chasubiriwa ni Phil kuja kufanya formalities za maongezi na klabu ya Simba...
Simba walikuwa wanamfukuzia Phil, Kim Poulsen na makocha wengine wawili raia wa Serbia...
Mkuu,hizo zilikuwa tetesi. Sasa ni dhahiri
Unavyosoma hapa dakika hii tayari Phiri ana tiketi yake ya ndege mkononi na atatua nchini kesho Jumatano tayari kumalizana na Simba na kuanza mambo na hata Mwanaspoti lilipozungumza naye alicheka sana akiashiria furaha yake ya kurejea Bongo.
Kocha mzambia Patrick Phiri ametua nchini kujiunga na Klabu ya Simba kama Kocha Mkuu. Mengi kufuata...