Phiri arejea tena Simba

Phiri arejea tena Simba

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,353
Reaction score
26,194
Kocha mzambia Patrick Phiri ametua nchini kujiunga na Klabu ya Simba kama Kocha Mkuu. Mengi kufuata...


attachment.php
 
Huenda hii ni breaking news kwako mkuu lakini habari za ujio wake tayari zilishaenea kwa wanazi wa soka...

Kilichokuwa chasubiriwa ni Phil kuja kufanya formalities za maongezi na klabu ya Simba...

Simba walikuwa wanamfukuzia Phil, Kim Poulsen na makocha wengine wawili raia wa Serbia...
 
Hili timu ikae sawa basi engine km marehemu patrick mutesa mafisango(mungu aiweke roho yake mahali pema),Nje ya hapo simba ndio basi tenaaaaaaaaa
 
Huenda hii ni breaking news kwako mkuu lakini habari za ujio wake tayari zilishaenea kwa wanazi wa soka...

Kilichokuwa chasubiriwa ni Phil kuja kufanya formalities za maongezi na klabu ya Simba...

Simba walikuwa wanamfukuzia Phil, Kim Poulsen na makocha wengine wawili raia wa Serbia...

Mkuu,hizo zilikuwa tetesi. Sasa ni dhahiri
 
Mkuu,hizo zilikuwa tetesi. Sasa ni dhahiri

Unavyosoma hapa dakika hii tayari Phiri ana tiketi yake ya ndege mkononi na atatua nchini kesho Jumatano tayari kumalizana na Simba na kuanza mambo na hata Mwanaspoti lilipozungumza naye alicheka sana akiashiria furaha yake ya kurejea Bongo.

Hiyo ni taarifa ya Mwanaspoti siku ya jumanne tarehe 12, na ilikuwa ni habari ya uhakika...yaani confirmed...

Hivyo suala la kuja kwake jana lilikuwa lajulikana mkuu kwa wadau wa soka wa Simba na wengineo...

http://www.mwanaspoti.co.tz/Soka/Ph...tatu/-/1799484/2416716/-/xv13tcz/-/index.html
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom