PhD ya mzee Wa kaya

PhD ya mzee Wa kaya

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,469
Ile PhD ya juzi juzi aliyopewa mzee wa kaya, hakika alustaili mzee wetu

Vifo vyote kwanini asipewe PhD
1. Shilingi imekufa
2. Mfumuko Wa being
3. Deni juuu
4. Ccm chaliiii
 
Ile PhD ya juzi juzi aliyopewa mzee wa kaya, hakika alustaili mzee wetu

Vifo vyote kwanini asipewe PhD
1. Shilingi imekufa
2. Mfumuko Wa being
3. Deni juuu
4. Ccm chaliiii

No. 2 sijaielewa .. au kiroba??
 
Kwani PhD si huwa inapewaga ni pamoja na mambo yasiyo ya kawaida? Tena hadi amalize anaweza pata sir yoka Kwa malikia sioni kama ni mambo ya kawaida
 
Changanya na zako simu ya kutachi nimeanza kutumia Jana
 
Mfumuko Wa bei koka 8% adi 38%
Hata university of dar es salaam sijui kwanini hawajamuona mtenda muujiza huyu
 
Kunywa kiasi mkuu.
Utapost matusi humu.
 
Back
Top Bottom