Small Axe JF-Expert Member Joined Dec 17, 2016 Posts 652 Reaction score 465 Jan 19, 2017 #141 Ndio maana kila wakati anasema 'Glory to God' Yaani sifa na utukufu anastahili Mungu bwana wa Majeshi
Ndio maana kila wakati anasema 'Glory to God' Yaani sifa na utukufu anastahili Mungu bwana wa Majeshi
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 29,149 Reaction score 51,829 Jan 19, 2017 #142 Mungu ameweka utumishi ndani yake.... kwakweli ukimsikiliza unapata kitu kipya...
N'yadikwa JF-Expert Member Joined Aug 10, 2014 Posts 7,993 Reaction score 12,045 Jan 19, 2017 #143 Sijawahi kulielewa somo lake la LANGO kwamba kila uzao wa kwanza ni laana?...is it possible!
GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,648 Reaction score 10,844 Nov 17, 2023 #144 N'yadikwa said: Sijawahi kulielewa somo lake la LANGO kwamba kila uzao wa kwanza ni laana?...is it possible! Click to expand... Utakuwa hujamsikiliza. Sidhani kama alisema ulichokiandika. Ama hukumsimiliza, au hukuelewa.
N'yadikwa said: Sijawahi kulielewa somo lake la LANGO kwamba kila uzao wa kwanza ni laana?...is it possible! Click to expand... Utakuwa hujamsikiliza. Sidhani kama alisema ulichokiandika. Ama hukumsimiliza, au hukuelewa.
N'yadikwa JF-Expert Member Joined Aug 10, 2014 Posts 7,993 Reaction score 12,045 Nov 22, 2023 #145 GoldDhahabu said: Utakuwa hujamsikiliza. Sidhani kama alisema ulichokiandika. Ama hukumsimiliza, au hukuelewa. Click to expand... Nilisikiliza.Somo la lango sikubaliani nae.
GoldDhahabu said: Utakuwa hujamsikiliza. Sidhani kama alisema ulichokiandika. Ama hukumsimiliza, au hukuelewa. Click to expand... Nilisikiliza.Somo la lango sikubaliani nae.
GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,648 Reaction score 10,844 Nov 22, 2023 #146 N'yadikwa said: Nilisikiliza.Somo la lango sikubaliani nae. Click to expand... Si lazima ukubaliane naye kwa kila kitu. Vinginevyo, unaweza usimpate hata mmoja utakayekubaliana naye.
N'yadikwa said: Nilisikiliza.Somo la lango sikubaliani nae. Click to expand... Si lazima ukubaliane naye kwa kila kitu. Vinginevyo, unaweza usimpate hata mmoja utakayekubaliana naye.
Mayu JF-Expert Member Joined May 11, 2010 Posts 8,402 Reaction score 13,765 Nov 22, 2023 #147 Ilimsikiliza siku moja anafundisha juu ya ndoto na tafsiri zake Aiseee imani inataka moyo sana kuamini kwa kutumia akili za kawaida Nikabaki najiuliza ina maana watu wote wanaamini anacho wafundisha au wanamaikiliza tu kwakuwa wana IMANI?
Ilimsikiliza siku moja anafundisha juu ya ndoto na tafsiri zake Aiseee imani inataka moyo sana kuamini kwa kutumia akili za kawaida Nikabaki najiuliza ina maana watu wote wanaamini anacho wafundisha au wanamaikiliza tu kwakuwa wana IMANI?