Elvicepride
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 243
- 65
Namaanisha ya Leja kujazia dawa zilizouzwa zinazoingia na kutoka na balance yake nitakuwa najaza kila dawa iwe na kurasa yake,??maelezo mafupi sana ukijielezea zaidi aina ya software, hizo bidhaa, information unazotaka kuweka nk naweza kukusaidia zaidi ila kikawaida quickbook ndio hutumika maeneo mengi
Nitatengeneza mwenyewe nahitaji tu mwongozo kwa vilivyobora na latest and the best Thank you,??Utatengeneza mwenyewe au unataka kutengenezewa hiyo database!?
kama quickbook point of sale nafkiri inaweza fanya hivyo. ni software rahisi haihitaji kujifunza sana hii hapa screenshot ya navigator yakeNamaanisha ya Leja kujazia dawa zilizouzwa zinazoingia na kutoka na balance yake nitakuwa najaza kila dawa iwe na kurasa yake,??
Kama size ya pharmacy ni kubwa basi backend tumia sql/mysql na frontend tumia access. Then wajua kinachofuataNitatengeneza mwenyewe nahitaji tu mwongozo kwa vilivyobora na latest and the best Thank you,??
Aisee!Kama size ya pharmacy ni kubwa basi backend tumia sql/mysql na frontend tumia access. Then wajua kinachofuata
Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
kama quickbook point of sale nafkiri inaweza fanya hivyo. ni software rahisi haihitaji kujifunza sana hii hapa screenshot ya navigator yake
imegawanyika makundi makuu matatu
-mauzo
-inventory
-bidhaa zinazoingia
na unapoeka bidhaa kwenye inventory unaeka na bei zake, zipo sehemu za discount nk
pia kuna report za kila namna, kuanzia report ya kawaida ya mauzo, bidhaa inayotoka sana, store inayoongoza kwa mauzo nk
Nimekupata Thanks Bruh.kama quickbook point of sale nafkiri inaweza fanya hivyo. ni software rahisi haihitaji kujifunza sana hii hapa screenshot ya navigator yake
imegawanyika makundi makuu matatu
-mauzo
-inventory
-bidhaa zinazoingia
na unapoeka bidhaa kwenye inventory unaeka na bei zake, zipo sehemu za discount nk
pia kuna report za kila namna, kuanzia report ya kawaida ya mauzo, bidhaa inayotoka sana, store inayoongoza kwa mauzo nk
Miimi nakushauri Tally, ndio mwisho wa matatizo ktk swala zima la kutunza stock, manunuzi, mauzo na report ya kila hitajio inapatikana kwa urahisi, maelezo yatakuwa mengi zaidi, inafundishika kwa muda mfupi sana, ni pm nije kukuonesha inavyo fanya kazi, utashangaa.Nielekezeni nitumie Software gani kutengeneza Database ya duka la madawa mimi ni msimazi nataka nitoke kwenye Manual tuanze kwa computer Ku-store information
I need a latest software
or anything latest.
Kuna software latest, inaitwa Pastel. hiyo inakupa kila ripoti, mfano bidhaa ilouzwa sana, bidhaa ilokaa sana store, reminder za expire dateNielekezeni nitumie Software gani kutengeneza Database ya duka la madawa mimi ni msimazi nataka nitoke kwenye Manual tuanze kwa computer Ku-store information
I need a latest software
or anything latest.
Kaka rekebisha hapo .Kama size ya pharmacy ni kubwa basi backend tumia sql/mysql na frontend tumia access. Then wajua kinachofuata
Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Mimi nahitaji database kwa ajili ya phrmacy yangu, how much kunitengenezea au kama ipo tayari how much is it???Utatengeneza mwenyewe au unataka kutengenezewa hiyo database!?
Habari chief, ipo latest software inaweza kukidhi mahitaji yako na pia ninaweza Ku customize kulingana na mahitaji yako. Angalia sample screens below. Ni PM for more info na demoNielekezeni nitumie Software gani kutengeneza Database ya duka la madawa mimi ni msimazi nataka nitoke kwenye Manual tuanze kwa computer Ku-store information
I need a latest software
or anything latest.
Software yake ntaipatajr mkuu??Miimi nakushauri Tally, ndio mwisho wa matatizo ktk swala zima la kutunza stock, manunuzi, mauzo na report ya kila hitajio inapatikana kwa urahisi, maelezo yatakuwa mengi zaidi, inafundishika kwa muda mfupi sana, ni pm nije kukuonesha inavyo fanya kazi, utashangaa.