kussy JF-Expert Member Joined Jun 15, 2010 Posts 408 Reaction score 124 Jul 10, 2015 #1 Wadau habari, naomba msaada wenu simu yangu ya techno Phantom z mini inagoma kufanya updates, na kufanya installation ya application mpya, Inasema "installing" tu muda wote
Wadau habari, naomba msaada wenu simu yangu ya techno Phantom z mini inagoma kufanya updates, na kufanya installation ya application mpya, Inasema "installing" tu muda wote
pilato93 JF-Expert Member Joined Jun 28, 2014 Posts 6,967 Reaction score 7,662 Jul 10, 2015 #2 kapige software mpya ndio tatizo lako
kussy JF-Expert Member Joined Jun 15, 2010 Posts 408 Reaction score 124 Jul 10, 2015 Thread starter #3 pilato93 said: kapige software mpya ndio tatizo lako[/QUOTE Nimejaribu kuicheki software inaniambia iko up to date Click to expand...
pilato93 said: kapige software mpya ndio tatizo lako[/QUOTE Nimejaribu kuicheki software inaniambia iko up to date Click to expand...
pilato93 JF-Expert Member Joined Jun 28, 2014 Posts 6,967 Reaction score 7,662 Jul 10, 2015 #4 android zote ziko hivyo ila nenda tecno wakakufanyie hiyo kaz usiwape hawa mafundi wetu mtaani wataitia ubovu kabisa
android zote ziko hivyo ila nenda tecno wakakufanyie hiyo kaz usiwape hawa mafundi wetu mtaani wataitia ubovu kabisa
kussy JF-Expert Member Joined Jun 15, 2010 Posts 408 Reaction score 124 Jul 10, 2015 Thread starter #6 pilato93 said: android zote ziko hivyo ila nenda tecno wakakufanyie hiyo kaz usiwape hawa mafundi wetu mtaani wataitia ubovu kabisa Click to expand... Shukrani sana nitafanya hivyo
pilato93 said: android zote ziko hivyo ila nenda tecno wakakufanyie hiyo kaz usiwape hawa mafundi wetu mtaani wataitia ubovu kabisa Click to expand... Shukrani sana nitafanya hivyo