Peugeot control box

Peugeot control box

Nguvuyabwana

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2019
Posts
203
Reaction score
494
Wakuu habari za wakati huu!. Naomba mwenye kufahamu ni wapi naweza pata control box ya hii gari.

Kuna moja nilipata kwa mtu kutoka kenya, imefungwa lakini haipigi ress kabisa.

7EA74485-5880-4E0C-9147-6DBB717265B7.jpeg
 
Yaan unamiliki gar hata spare hujui wap inapatkana....JE NI YAKO KWELI????.....weka evidence if ww ndo owner..!!
 
Back
Top Bottom