rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
Kutokana na tetesi zilizosambaa katika media Britain juu ya uwezekano wa kufukuzwa kwa "THE GREATEST CHOSEN ONE" natumia muda huu kuomba wapenzi wote wa soka waliofurahishwa kwa kazi aliyofanya Moyes katika kipindi cha miezi kama 9 msaini Petition tuipeleke OLD TRAFFORD ili kuokoa kibarua cha MOYES. Ni jambo la busara kumtetea huyu kocha kijana kama Kikwete kwa maendeleo ya Soka la Premier League sababu tangu awe kocha ligi imechezeshwa bila upendeleo wala mikwaruzano kama enzi za RED NOSE SAF.
Ahsanteni.
Ahsanteni.