Kabisa inashangaza anavyo kataaMmmmh yeye ndo mpaka sasa katoa nyimbo mbili kama sio kufarahia kuvunjika kundi lao?!
umetumia kigezo kipi kwamba ni hit song?Yeye alitaka kuwa recognized kama anaweza kutunga nyimbo na kuimba pia, sasa pacha wake na kaka yao wakakataa kwa kuwa hawakumuamini, akaona enough is enough kama haaminiwi kwa nn asifanye kazi akaonesha kipaji chake, na ndo alichofanya mpaka sasa anangoma mbili na zote ni hit songs town hapa
Wanawake ndo tatizo kuna mmoja anapelekeshwa mnoo na mkeweMaisha bana, yaani hawa ni watoto mapacha, baba mmoja na mama mmoja, lakini maslai yanawaganya
Atakuwa huyo mkewe ana genes aina ya Grace MugabeWanawake ndo tatizo kuna mmoja anapelekeshwa mnoo na mkewe
Wanawake kuna walezi na wabomoaji
dahHuwezi kushindana na nature....
Awali, originally, Peter and Paul walikuwa mbegu moja ya Mzee Okoye! Ilipofika makazi mapya, mbegu ikagawanyika pasu kwa pasu akatokea Peter na Paul
Peter na Paul nao wakaunganika kimuziki,
Na hivi sasa wamegawanyika tena kama ambavyo mbegu iliyowatoa wao ilivyokuwa imegawanyika hapo kabla.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Atakuwa huyo mkewe ana genes aina ya Grace Mugabe
Umeniwahi asee... Yule Mwarabu koko hafai waiiiiWanawake ndo tatizo kuna mmoja anapelekeshwa mnoo na mkewe
Wanawake kuna walezi na wabomoaji
Mkorofi sana yule ndo anawachonganisha waleUmeniwahi asee... Yule Mwarabu koko hafai waiiii
Yupi mke wake ndio mkorofi?Mkorofi sana yule ndo anawachonganisha wale
Hivi nn maana ya hit song?Yeye alitaka kuwa recognized kama anaweza kutunga nyimbo na kuimba pia, sasa pacha wake na kaka yao wakakataa kwa kuwa hawakumuamini, akaona enough is enough kama haaminiwi kwa nn asifanye kazi akaonesha kipaji chake, na ndo alichofanya mpaka sasa anangoma mbili na zote ni hit songs town hapa
Hata mm nimeuliza kuwa nn maana ya hit song?umetumia kigezo kipi kwamba ni hit song?
Lola omotayo......anampelekesha sana peter.Wanawake ndo tatizo kuna mmoja anapelekeshwa mnoo na mkewe
Wanawake kuna walezi na wabomoaji
Mke wa peter Lola ndo mkorofi na mkubwa km 9yrs hiv au 7yrsYupi mke wake ndio mkorofi?
Peter au Paul?