Umedumaa ndo mana huwezi kufikri vyema, Jakaya atavunja tena baraza la mawaziri sababu wala rushwa na wanakaa kwenye kiyoyozi bila kufanya kazi.Kawaambia ni kheri wangalikuwa wazururaji kama yeye kuliko ni wao kubaki ofsn.Watanzania hatuna muda wa kumsikiliza huyu mhuni aliyejificha kwenye kivuli cha uchungaji!