Peter msigwa mbunge wa Iringa asifu kasi ya Magufuli

kama ccm wana sera ya kupambana na ufisadi tibaijuka, chenge na muhongo kwanini wapewe nafasi na nec kugombea ubunge?
 
slaa alijiondoa mwenyewe hakufukuzwa ni baada ya kujipendekeza kwa mafisiemu
 
Leo katika mdahalo uliofanyika katika chuo kikuu cha mkwawa. Mdahalo huo umeudhuliwa na watu mbalimbali akiwepo Mbunge wa Iringa.
Ilipofika zamu ya Msigwa kuongea alikili wazi kuwa Magufuli kuwa ni kiongozi bora na anayetumia sera za CHADEMA
Hongera sana msigwa kwa kumuunga mkono Rais wetu.

Kwenye sera za Chadema mlipanga kufuta sherehe za Uhuru na kuifanya siku ya usafi?
 
Leo katika mdahalo uliofanyika katika chuo kikuu cha mkwawa. Mdahalo huo umeudhuliwa na watu mbalimbali akiwepo Mbunge wa Iringa.
Ilipofika zamu ya Msigwa kuongea alikili wazi kuwa Magufuli kuwa ni kiongozi bora na anayetumia sera za CHADEMA
Hongera sana msigwa kwa kumuunga mkono Rais wetu.

Katika hzo Sera za chadema kuna sehem yeyote walizungumzia swala la ufisadi ,rushwa na kukwepa kodi?
 
Back
Top Bottom