peter kilawe

peter kilawe

Peter Kilawe

Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
12
Reaction score
1
hongera serekali kama hii tarifa ya kurejesha nyumba zilizouzwa zirejeshwe basi hapo nijambo la maana ila inabidi waliouza nao waazibiwe kwani saivi serekali wanapata tena hasara kuzinunua tena upya
 
Huyu kaona uzi wa 2006 hapa jamvini kuhusu kauli ya DHAIFU kwamba nyumba zirudishwe kadhani kwamba ni kauli ya hivi karibuni.
 
Back
Top Bottom