Hakuna maana ya kutoa tigo wala nyingine yoyote, wanawake kuvaa pete na cheni miguuni ni urembo tu, na haikuanza leo. Mwanamke akiamua kujiremba atavaa cheni popote inapovalika iwe ni kuzungushia kichwani, shingoni, mguuni, mkononi, kiunoni, nk. Hizo tafsiri nyingine watu wanaweka kwa sababu zao tu. Mnaona siku hizi wanavaa hereni hata sita kwenye sikio moja, mabangili rundo, vipini puani, mdomoni, ulimini, usoni, etc. wadada wana mambo! Hivyo tahadhari wakaka, kama mnapenda tigo msije mkakurupukia wadada wanaovaa vikuku na pete mkidhani ndio wanauza, mnaweza kuangukia pabaya!!