hahahahaahh umenichekesha sana! Kuna mdada mmoja alimnunulia mpenzi wake chupi nzuri sana za kwenye sale za Calvin Klein kama 10 hivi. Ila shida zote zilikuwa za rangi moja. Jamaa akamshukuru sana ila mpenzi mbona zote zinafanana? Sasa si watasema nina chupi moja tu? Mdada akamuuliza akina nani hao? Jamaa hakuwa na Jibu. Inabidi niwe mpole tu sasa nitachora jina lako kwenye paja langu.
Ahh mi tayari nshakua familia hivyo BAK!! Hahahahaha unataka kua baba wa ubatizo sio?Ngoja niongee na mchungaji..sidhani kama atakua na kipingamizi...hata U-best man ntamwambia akufikirie!Hahahahahaha Hao mapacha kama wakiwa majaliwa basi naomba niwe God Father wao.
Uzuri wetu Marev hatuchunguliani! Sema Nikifa wataona hiyo picha!Rev umekamatwa vizuri sana LOL! sasa hata kwenye paja kwani wakati unavaa zile nguo zenu takatifu Marev wenzio hawawezi kuiona picha ya mwanakondoo wako na wao kukuuliza kulikoni mwenzetu na hii picha kwenye paja?
Uzuri wetu Marev hatuchunguliani! Sema Nikifa wataona hiyo picha!
Hahaha...hapo ndo nnapokupendea mchungaji...unarekebisha kosa kabla mambo hayaja haribika!!Kuhusu mapacha lets do it!BAK ameshaomba kuwa God Father...tutampa eh?
Huenda Mechi ikawa suluhu Leo!Haya Mkuu nasubiri dakika hapa kabla ya mchapo, I hope leo tutaweza kumsimamisha Drogba na manyanyaso yake.
Ngoja nifikirie huenda kuna kitu anavizia!
Huenda Mechi ikawa suluhu Leo!
Siye hatutaki suluhu tunataka points zote ili kuendelea kula sahani moja na MANU.
Hujawahi kusikia kikienda kwa mganga hakirudi??wanaotaka kusahau ya mchumba huyo wanarudisha, kwani mtu anadaiwa airudishe? kama mtu kachangia pesa wanunue basi ni kuuza na kugawana mapato.
ila wanawake wengi wanakaa nayo kama walimpenda mwanaume na wakaachwa kama kumbukumbu na ikiwa na diamond ni asset
kama unadaiwa rudisha, mie naona ni aibu kung'ang'ania pete ya uchumba uliyopewa na mwanaume kama mmeachana
Jahazi limezama Leo!
Hahahahahah pole sana Rev! ulijificha wapi Mkuu? Nilikutafuta jukwaa zima wakati mechi ikiendelea bila mafanikio. Nikadhani umetoa zile za BJ maana yeye huwa anakuwa mitaa ya jirani siku za mechi zile za kufa mtu, wakishinda anaibuka haraka sana hahahahahaha wakishindwa basi anasepa kimya kimya bila hata mguno.
Kati ya wewe na BAK nani kaumia??Blue wamelipua!
Mmhhh nilikuwa chemba na Lizzy!