Pete ya uchumba kwann huvaliwa na mabinti pekee?

Unatafuta usawa bibie/baba? wanaoitapa pete ni akinadada sie wala hahah, na mwishoe utasema kwanini wanawake ndio wanahamia kwa mme hahah au kwanini wanakuwa sent off? labda tuwaulizeni akinadada ni kwa nini mnapenda hii pete ya uchumba?
 
Kuvaa pete ni haki ya mwanamke. Kwanza ni alama (kufuli la wazi), milango imefungwa, no more application (closed), wanaume wote mpeni heshima, shikeni adammu, hakuna miluzi wala papala. Inamlinda kwanza mwanaume yoyote akiiona anpoteza hamu, kama alianza kumwazia atajutia.

Ni fahari hata mbele ya wanawake wenzake, ni alama ya kuwa mama etc. Yapo mingi hatuwezi hata kumaliza.]]

lakini wangevaishwa hawa vidume, siamini kama vingeacha kutafuta hata kama vina pete kidoleni.
 
hahah mbona tunazivaa tukishao, na akimama wenyepete guest house wamo au unakataa? hahah,
ila umejibu vizuri mpaka na mie nikajisikia fahari kumvesha mdada pete thks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…