N ninanina Member Joined Jun 25, 2011 Posts 37 Reaction score 24 Aug 24, 2018 #1 Waheshimiwa, nipo mji wa waheshimiwa weekend hii, Dodoma. Nimeambiwa kuna pub/club mpya inaitwa Pestana, kwa wale wenye taarifa, ni maeneo gani?
Waheshimiwa, nipo mji wa waheshimiwa weekend hii, Dodoma. Nimeambiwa kuna pub/club mpya inaitwa Pestana, kwa wale wenye taarifa, ni maeneo gani?
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 23,986 Reaction score 42,210 Aug 24, 2018 #2 Ndo nilipo now iko huku juu uzungun maeneo ya kiliman ni bonge la pub sijaon dom nzima mzee Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo nilipo now iko huku juu uzungun maeneo ya kiliman ni bonge la pub sijaon dom nzima mzee Sent using Jamii Forums mobile app