Pest Consult: Huduma ya Fumigation

Pest Consult: Huduma ya Fumigation

Loxodona

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2019
Posts
354
Reaction score
618
Pest Consult ni Kampuni iliyosajiriwa nchini Tanzania na kuruhusiwa kutoa huduma ya Fumigation/Kudhibiti Visumbufu (Pests). Kampuni yetu inauzoefu wa kutosha na huduma zetu zinatolewa Kwa misingi ya kisayansi. Tunawakaribisha wote wenye changamoto na mnaosumbuliwa na Mende, Panya, Kunguni, Mchwa, Mbu n.k. Aidha, tunatoka huduma zetu kwenye Mahoteli, Nyumba za kulala wageni, viwanda, maofisi, Vyombo vya usafiri, kumbi za starehe na majumbani. Pamoja na kudhibiti pests, tunatoa pia ushauri na elimu ya namna ya kudhibiti pests katika Maeneo yetu. Kwa mawasiliano piga 0620855933 au tembelea website yetu www.pestconsult.co.tz
1621663053.jpg
692980699.jpg
1962078585.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom