Pesa zenu ndio natumia mimi. Endeleeni kujifanya Vidume

Hongera kwa kupata mpenzi wa kweli mkuu!

Mwanamke anayekupa hela yake kwa roho safi ujue anakupenda kwa dhati...anaweza kuwa na madhaifu mengine ila kwenye huba yuko legit by 100%! She loves you and wants you to feel great about it. Kila mtu anajua pesa ni kama spice katika mapenzi hunogesha na kuleta furaha zaidi thats why mtu haoni tabu kutumia pesa zake na ampendae.

Achana na hawa ambao wanafosi mapenzi kwa malaya wanaishia kuchapwa invoice kwa foleni. Wataishia kuponda tu kama kawaida yao na kukuita Marioo ila ukweli ni kwamba wengi hutamani hio bahati ila huwatokea ME wachache. The same goes to wadangaji watakuponda na kumshangaa huyo demu anakupaje hela bila kujua kuwa roho za kimaskini na kukosa access na hela ndio mtihani walio nao.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kitu najiulizaga kama mapenzi ni ya wawili iweje mwanaume kumpa hela mwanamke iwe halali ila mke kumpa mume hela iwe kosa?
 
Umeongea mambo mazito,muhimu. Nawalewa wabongo kwa wivu,chuki na ushamba. Wao wanafikiri kuhonga ndo uanaume.kumbe mapenzi ni kupeana na kupeana ni kikoa. U re right. Mwanamke ananipa bila mimi kumuomba na sababu anakuwa nazo na ana feel proud...then uana ume wangu unaishaje hapo? Wakati kiuhalisia anafurahia zaidi kuwa amepata kidume hasa. Na ana mapenzi akifurahia nayomfanyia.

Mi nmekuelewa waswahili wenye wivu wataendelea kuumia tu. Ila hawanikatishi tamaa na wadangaji wanaona kuwa natengeneza mazingira ya wao kukoa mabuzi coz watu smart wataanza kuhoji why wahonge?

 
Duh, we kiboko!
 
I always try to be factual. Watu wengi hawapendagi ukweli ila lazma usemwe tu. Hamna mtu ambaye hapendi kupendwa na kuoneshwa hilo kwa vitendo. Wanawake wamekula hela zetu for years acha na wanaume wale zao ndio mapenzi sasa. Mtu anaumia kusikia mwanamke wako anakupa mtaji uinuke kimaisha, anaspend hela zake kuhakikisha wote mna furahia maisha. Sioni kosa hapo ila watu ambao hawako exposed ndio wataona ajabu.
 
Sure... Haya mambo ulaya na marekani ya kawaida sana. Ila mtu aliyezoea kuchukua mademu wa kwa mtogole na buza anashangaa... Eti kuhonga ndo uanaume. Wacha wao wahonge hizo pesa tutazitumia sisi tunaopendwa na uanaume wetu tutauonesha kwa kupiga pipe na kutungisha mimba wacha wao waoneshe kwa kuhonga.


 
Mwache kijana ale mema ya nchi, as long as amejishikiza mahali wacha amenye tu. Ubaya ni kufanya upumbavu kama aliofanya ben pol! Kalewa penzi hadi kasahau muziki akajikuta kapigwa chini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
uzur hela za kuhongwa kama za kubet huwez endelea..ni kwa wachache sanaa πŸ˜‚
 
Uchumi fake wa kati unadhidi kujidhihirisha
 
Aisee.
Mkuu unaona ni haki ya kikatiba kuwa marioo....
 
Hahahah kuna watu wametoka we unasema hazifanyi kituπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Hela yoyote hata ya kuiamkia saa 12 kama huna nidhamu nayo inakufa
nadra sanaaa katika 100 ni moja tu ukute..
asa wazee wa kubet katika 100 wametoka wawili tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…