Intarahamwe washaa zibeba si mnajua kumebaki aka moja...UDSM, DUCE, MUCE, wasainishwa ili wasigome na wameondoka huku wengine wakikwama dar kwa kukosa nauli.Baadhi ya kozi wameanza field leo ila hakuna pesa...poleni sana vijana wetu hii ndio serikali yetu sikivu sijui mtafanyaje field zenu...Mungu awasaidie.