adamtupa92
Member
- Jun 29, 2016
- 27
- 24
Haya naona mambo yameiva
wewe daruso hela ishaingia kitambo sana mbona ndo tumeingiziwa mapema leo jion mkuu.dah wa daruso na @udoso subirini
Ni kweli hawana, vyuo vingine hawajapataNadhan kelele zitaisha sasa.
ooooh government haina mkwanja.
Na imeingizwa nusuOngereni daruso? Wamengiza moja kwa moja?? Au wamepeleka kwa chuo?
ndiyo serikali kwani uongo kuwa haina hela,kwanin watoe nusu tena kwa kuchelewa?? sio hali kabisa.Nadhan kelele zitaisha sasa.
ooooh government haina mkwanja.
Hili wala haliitaji utafiti kwamba serikali ipo hoi kwenye swala la pesa.Nadhan kelele zitaisha sasa.
ooooh government haina mkwanja.



😵dah wa daruso na @udoso subirini