fishseller
Member
- Jun 13, 2012
- 30
- 19
Ndugu zangu, hili wazo limeniijia kichwani baada ya gazeti la Mtanzania kuandika habari kuwa mwenyekiti wa kamati ya bajeti Andrew Chenge amejiuzulu nafasi yake ya uenyekiti wa kamati ya bunge ya bajeti kutokana na kuhusishwa kwake na kashfa ya Escrow.
Wote tunafahamu kuwa Chenge ni mshauri na mfadhili mkubwa wa kampeni za Lowassa na kuna mpango kwenye kambi ya Lowassa ya kumfanya waziri mkuu kama wakipata ushindi baada ya uchaguzi mkuu.
Wiki mbili zilizopita, kundi la Lowassa liliwaonga wajumbe wa mkutano mkuu shilingi milioni mbili kila mmoja kama zawadi ya sikukuu ya Krismasi.
Kuna wajumbe takribani 2,300 kwahiyo Lowassa atakuwa ametoa zaidi ya shillingi bilioni 2.
Swali ambalo wengi wetu hatujiulizi ni kwamba hizi fedha zinatoka wapi na atakapoingia madarakani atazilipa kutoka wapi. Je, fedha alizopewa Chenge zinatumika pia kuwaadaa watanzania?