Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 31,274
- 89,302
Jamaa alipewa hela ya urithi milion 100. Akaenda porini akachimba shimo chini ya mti akazifukia zile hela kisha akatoa camera akapiga picha ule mti ili kuweka kumbukumbu.
Alipofika home akatoa camera ili aangalie ile pcha,kuiangalia ile pcha akaona juu ya mti kuna mtu anachekelea.
Ingekua wewe ungefanyeje?
Alipofika home akatoa camera ili aangalie ile pcha,kuiangalia ile pcha akaona juu ya mti kuna mtu anachekelea.
Ingekua wewe ungefanyeje?