Sasa nashukuru umeniombea huko kwa mods, sasa we kiboga mleta mada, Si ukachokonolewe huko upate pesa ya kodi, kibaka mkubwa wewe, mbafu, huna ndugu mjini hapo? Pumbavu kabisa, unatuchosha kusoma ujinga ujinga wako, shenzi wewe, pumbavu mwehu kabisa, huna akili wewe, takotu wewebenk wana mikopo nafuu
tena ukiwaambia ulibet
wanakupa haraka
ila kama na wao
Ni vilaza vichaa
kama wewe
Hahaha..niliedit ila poa narudia mods naomba uwasamehe burn watakaomtukana mtoa madaSasa nashukuru umeniombea huko kwa mods, sasa we kiboga mleta mada, Si ukachokonolewe huko upate pesa ya kodi, kibaka mkubwa wewe, mbafu, huna ndugu mjini hapo? Pumbavu kabisa, unatuchosha kusoma ujinga ujinga wako, shenzi wewe, pumbavu mwehu kabisa, huna akili wewe, takotu wewe
Kama wewe ni KE aka DEMU usijali nitakupa hata mara 2 zaidi ,hebu fafanua lakini kama ni NJEMBA potea kafe mbele Kerebu weye.Hbr zenu Wakuu.
Dunia ni zaidi ya uijuavyo, kama ilivyo a da hii pesa ya kodi hailiwi kwa mategemeo kuwa ntapata niongezee. Kamwe..[emoji27]
Ni matumaini yangu wengi wetu tunaujua huu mchezo wa kubeti.Haika na mm ni mlevi mmoja wao, ila kwa ili hakika naachana na huu mchezo.
Kwa wasiojua nini maana ya kubet, huu ni mchezo wa kutabiri kati ya timu mbili zitakazo kuwa zinacheza kila moja ikiwa na point ambazo unazidisha na pesa utakayo weka, kama marokoar yatakuwa kama ulivyotabiri basi unakuwa umeshida.
Bali hiyo ndiyo iliyonikuta jana pale nipo shawishika kuweka PESA ya KODI (180,000Tsh) nkitegemea kupata zaidi lkn hali ikawa ndivyo sivyo baada ya utabiri wangu kwenda kinyume na matokeo ya mechi. Hali iyo ilifanya pesa yngu kuwa imeliwa[emoji24] [emoji24] na kupoteza matumaini yangu.
Swala linakuja pale Baba Mwenyenyumba anataka pesa yake na kama mjuavyo hali kwa kipindi hiki ni ngumu mno ila na amini kwa umoja wetu naweza nkafanikisha hili, Naomba kwa yoyote mwenye uwezo na nia ya kuepushia na aibu hii anisaidie kwa;
0744309911 au 0716421233 natanguliza shukrani [emoji120] zangu za dhati kwa wote.
Hata Kama ni njemba aje hapa ntakula Tu kwani shida Nini, alaaah, takotuKama wewe ni KE aka DEMU usijali nitakupa hata mara 2 zaidi ,hebu fafanua lakini kama ni NJEMBA potea kafe mbele Kerebu weye.
Endelea kutuombea huko maana nimechoka Mimi, lazima akomeHahaha..niliedit ila poa narudia mods naomba uwasamehe burn watakaomtukana mtoa mada
Yesu wangu uwiiiiiiiiieNakutumia jion japo upunguze deni maalim
NIMEKUELEWA TOKOTU SENIOR.Hata Kama ni njemba aje hapa ntakula Tu kwani shida Nini, alaaah, takotu