Nguvu za mashine hutegemea na services ya machine yenyewe. Kama humwagi na kuweka oil safi na original, kama hufanyi service ama unaweka mafuta machafu machine haiwezi kufanya kazi. Ukiwa na fedha na ukajua jinsi ya kuishi utakula vizuri, utalala vizuri, unaweza kununua virutubisho na machine ikapiga kazi mpaka kufika umauti wako. Ukikosa fedha machine inapiga kazi ikiwa bado haijachoka tu katika uzee wako hakuna kitu tena. Kuna utafauti mkubwa sana. Ndio maana wakina Mzee Mengi wanakula wajukuu zao na bado wanazaa watoto.