Elections 2010 Pesa twende kwa CCm ,kura tuwape CHADEMA....

urasa

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
434
2
Serikali imekataa kabisa kujihusisha na utoaji wa elimu ya uraia haswa wakati huu kuelekea uchaguzi mkuu,wamefanya hivyo kwa malengo maalum,wanajua wapiga kura wengi ni masikini na wana njaa.

Unaweza kutumia pesa kama fimbo ya kuchezea akili zao,ni wakati wetu sisi wenye utambuzi wa mambo hayo kujenga vikundi vidogo kanzia ngazi ya mtaa hadi taifa chini ya kauli mbiu,kama pesa twende kwa ccm ila kura tutawapa chadema kama sehemu ya elimu ya uraia kukabiliana na hao wagawa pesa ccm,zoezi liwe nyumba kwa nyumba,pamoja tutawashinda mafisadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…