Pesa twende kwa CCm ,kura tuwape CHADEMA.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pesa twende kwa CCm ,kura tuwape CHADEMA....

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by urasa, Aug 27, 2010.

 1. u

  urasa JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Serikali imekataa kabisa kujihusisha na utoaji wa elimu ya uraia haswa wakati huu kuelekea uchaguzi mkuu,wamefanya hivyo kwa malengo maalum,wanajua wapiga kura wengi ni masikini na wana njaa.

  Unaweza kutumia pesa kama fimbo ya kuchezea akili zao,ni wakati wetu sisi wenye utambuzi wa mambo hayo kujenga vikundi vidogo kanzia ngazi ya mtaa hadi taifa chini ya kauli mbiu,kama pesa twende kwa ccm ila kura tutawapa chadema kama sehemu ya elimu ya uraia kukabiliana na hao wagawa pesa ccm,zoezi liwe nyumba kwa nyumba,pamoja tutawashinda mafisadi.
   
Loading...