DOKEZO Pesa nyingine ziko Seychelles ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡จ

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Njoo kule kwetu love connection ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ huku hakuna wazee mahaba ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Uandishi wako haufanyi legacy kutochafuka.Kwa ufupi,mjomba wenu alikuwa mwizi balaaa!

inawezekana kweli alikuwa mwizi, lakini hii haizuii kuwafumbia macho wengi pia waliokaa kwenye hiyo nafasi ambao walikuwa wezi kama yeye au zaidi yake..

Tunajisahau sana kwa kupambana na marehemu na kusahau wapo wezi wengi wako hai na bado wanaendelea kulitafuna Taifa kila siku..
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ