Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,026
- 20,511
- Thread starter
-
- #21
ni mali yetu sote hasa binadamu na sio ngedere hivyo tambua kuwa ni yako na ndio maana ukiwa nazo utasikia flan anahela hawasemi fisi anaela
Nchi na vyoote ni mali ya MUNGU dunia na wote wakaao ndani yake
Na Yesu hapo alikuwa akimaanisha nini aliposema ya kaisari mpeni kaisari na ya Mungu mpeni Mungu, tena alisema huku kaishika sarafu yenye picha ya kaisari
Kwa wakristo, refer kitabu cha Hagai 2:8 Fedha ni yangu, na dhahabu ni yangu, asema Yehova wa majeshi. Kuhusu habari ya Yesu kuwajibu Mafarisayo na Makuhani alipoulizwa kwa habari ya fedha, ikumbukwe kuwa hapo walikuwa wakimtega Yesu kama ni halali kulipa kodi ama la, na Yesu akajibu kuwa ya Kaisari (kodi) mpe Kaisari na ya Mungu (dhabihu-sadaka) apewe Mungu.
Inategemea na matumizi...Mungu ana mahitaji yake na shetani as well!
Na Yesu hapo alikuwa akimaanisha nini aliposema ya kaisari mpeni kaisari na ya Mungu mpeni Mungu, tena alisema huku kaishika sarafu yenye picha ya kaisari
Kwanza pesa ya mzee Sabodo ya visima imeenda wapi? Kabla ya kujadili ni fedha za Mungu au za Shetani.
Wewe acha kutapika hapa watu tunakula toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo umjeukie mwenzio uone kibanzi chake wauwaji wakubwa nyie siku ya kiama hamna rangi ambayo hamtaiona mnadhulumu mayatima, wajane , watu wanafanya kazi mnawapunja jasho lao, wazee wa jumuiya ya afrika mash mmewadhulumu haki zao , wananchi wanateseka kwa ajili ya washenzi wachache yaani nyie Mungu anawatizama kwa jicho la pili.
Lakini na huyo kaisari pia ni mali ya mungu therefore ya kaisari yote ni ya mungu.
Yesu pale aliwajibu kibusara baada ya kujua juwa walikuwa wanamtega ili aseme avunje sheria za wayahudi.
Yesu jembe letu akajua nia mioyoni nwao akawajibu hivyo.
Biblia ina mambo mengi kila kitu kina maana kwa wakati na matukio fulani.
Tafsiri ndio zinazoleta shida na utofauti
Nashindwa kujua, hivi pesa ni mali ya nani?
Katika maandiko matakatifu tunasoma yakuwa Yesu alinyanyua sarafu na kuwauliza waamini wake kuwa sarafu ile ina picha ya nani? Nao wakajibu ina picha ya Kaisari, basi akawajibu kuwa. "Ya Kaisari mpeni Kaisari, na ya Mungu mpeni Mungu,
Wakati huo huo tunasoma yakuwa, mali na dhahabu na vitu vyote viijazavyo dunia ni mali ya Mungu,
Hivi pesa ni mali ya nani?????
Fedha au pesa maana fedha ya madini ndiyo ya mungu
Unafahamu kuwa pesa sio mali, bali dhahabu, et al ni mali?
Na alichonyanyua yesu na kuwaambia waamini kuwa ya Kaisar mpeni kaisar, ilikuwa ni nini?