The value of money never changes. ukiamka, ukilala inabaki Hio hio.Naungana na wewe uthamani wa pesa ni consipracy tu, kama consipracy zingine. Hebu fikiria note au sarafu zile zile ukilala na kuamka wanakwambia zimepanda thamani, au zimeshuka thamani, sasa thamani ya pesa iko wapi? kwenye object itself au ni mind zaidi.
naam...nahisi fixing inaweza kuwepo lakini sio ya wazi wazi saabu kuna hierarchy nyingi sana zinahusika na kuratibu pesa.Zinakua regulayed na na hao standard financial acts..... ni kwa kiasi gani tunawaamini wana regulate kwa haki. Maana swala limekaa kiimani
Inflation = Lower Worth.Swali moja kama pesa ni makaratasi inakuwaje tusichapishe za kutosha na kutengeneza mamiradi yetu ili wananchi wakapate ajira?na kuboreka maisha yao?
Solution ya pesa kua na haki ni kumtafuta mungu na kumpa jukumu la kusimamia uchumi. Otherwise there is no way binadamu akawa muaminifu ukimpa mamlaka ya ku control pesa. Msitegemee wanao i control wanawapenda sana wawe waaminifu kwenuKwa akili tu nadhani pesa zilianza kuwa rahisi kipind wanaintroduce at the first mfano afrika tukiwa tunatoka kweny barter trade ndo maana ukichunguza kwamba pesa hizi za makaratasi zimekuwa na thamani kwa dunia ya sasa matajiri wengi haswa ambao trend yao ya utajiri ni ukoo yaani kutoka kwa mababu zao huko years ago ni kwamba wazee wao waliaccumulate sana pesa huko nyuma ambazo sasa zina thaman zaidi
Maswali yangu juu ya pesa na watu wakubwa mfano kama tunavyoamini labda freemason
Naona kuna watu wao wanachapisha tu nakuziingiza kwa mzunguko ila wanafichwa hawaimgizwi kweny idadi ya matajiri kuzuia inflation?
Kama bank kuu ndo final controller wa kuprintiwa pesa zote dunia na huwa iyo iko chini ya watu fulani means kama binadamu wamacontroll basi wana matamania na ufisadi kama sisi so wanaweza kuchapisha pesa wakatumia wa kama wao ?
Kupitia pesa lazima pawe na tabata means wakiwa wengine wapata nyingine means wengine wanakosa maana panakuwa na kadirio la kiasi fulani katika mzunguko wa nchi fulani? Mfano nchi kama india watu wanapesa wanaweka ndani mzunguko unakuwa mdogo ndo maana kuna masikini hawapati kabisa kwani ile pesa ya kuzunguka wenzao wamezikalia ndani
La mwisho bank ndo zinatunza thamanj ya pesa na kusukuma mzunguko wa pesa
Kweli kweli mkuuSolution ya pesa kua na haki ni kumtafuta mungu na kumpa jukumu la kusimamia uchumi. Otherwise there is no way binadamu akawa muaminifu ukimpa mamlaka ya ku control pesa. Msitegemee wanao i control wanawapenda sana wawe waaminifu kwenu
Mkuu your explanation invites more questions than answers;The value of money never changes. ukiamka, ukilala inabaki Hio hio.
Lakini money's worth ndo hubadilika kila wakati. Haibadilishwi na "mamlaka" flani au Lah..inabadilishwa na sisi wenyewe kutokana na the demand tuliyonayo kwa wakati huo.
Tsh 500 ya 2005 mpaka leo ni Tsh 500. That is its value. unchanged.
Lakini bidhaa fulani m.f vocha ya Tsh 500 ya 2005 ni tofauti na vocha ya Tsh 500 ya saivi sababu the worth of 500 voucher credit (unayoweza kuyafanya kwa vocha ya 500) yamebadilika.
worth is assesed by the consumersMkuu your explanation invites more questions than answers;
Kwahiyo unataka kusema Tsh.500 ya Jana haiko worth kama Tsh.500 ya leo.? Who then assess worthness of money, ?
If value remain the same(constant) why worthness changes while worthness is measured interms of value? Mimi nadhani worthness and value are two sides of the same coin.
Au value ni ile namba iliyoandikwa, ? Kwamba itabaki vile vile siku zote. Kwanini note, au sarafu ile ile iwe na worthness tofauti kwa nyakati tofauti?
Ndiyo maana tunasema ni consipracy tu. The same object iwe subject into two state
Upo sahihi mkuuMkuu your explanation invites more questions than answers;
Kwahiyo unataka kusema Tsh.500 ya Jana haiko worth kama Tsh.500 ya leo.? Who then assess worthness of money, ?
If value remain the same(constant) why worthness changes while worthness is measured interms of value? Mimi nadhani worthness and value are two sides of the same coin.
Au value ni ile namba iliyoandikwa, ? Kwamba itabaki vile vile siku zote. Kwanini note, au sarafu ile ile iwe na worthness tofauti kwa nyakati tofauti?
Ndiyo maana tunasema ni consipracy tu. The same object iwe subject into two state
nani anae simamia process ya kuhakikisha pesa inayotumika inalingana na gold reserve, ukiniambia msimamizi wa process then utakua umepanua uwanda wa kuelewa kitu kwa undaniPesa hutengenezwa kulingana na national gold reserve hivo wewe utalipa dhahabu utengenezewe pesa simple as that na sio kwamba serikali inakua haina pesa hapana pesa zote zinahifadhiwa central bank na central bank inapolicy zake kama vile "open market operations" inauohusu muda muafaka wa kuachia pesa kwenye mzunguko ambazo zikitumika vibaya ndo hayo mambo ya mfumuko wa bei na kadhalika hutokea..
Kama nilivoeleza hapo juu central bank yaani kwa Tanzania tunaeza sema BOT ndio msimamizi wa hiyo process sababu ndie msimamizi wa hizi bank nyingine pia sasa serilali inapoingilia suala la kuchapisha pesa nyingine pasipo kuangalia market forces za demand na supply zinahitaji pesa zaidi au la basi mfumuko wa bei waweza tokeanani anae simamia process ya kuhakikisha pesa inayotumika inalingana na gold reserve, ukiniambia msimamizi wa process then utakua umepanua uwanda wa kuelewa kitu kwa undani
Huu mfumo wa kutumia gold standard ulishaachwa. Sasa pesa zote ni fiat, ikimaanisha kuwacthamani yao inatokana na serikali kusema zinathamani lakini hazihusiani na reserve ya dhahabu ya nchi.Kama nilivoeleza hapo juu central bank yaani kwa Tanzania tunaeza sema BOT ndio msimamizi wa hiyo process sababu ndie msimamizi wa hizi bank nyingine pia sasa serilali inapoingilia suala la kuchapisha pesa nyingine pasipo kuangalia market forces za demand na supply zinahitaji pesa zaidi au la basi mfumuko wa bei waweza tokea
Asante kwa kunielewesha je ...ila mie kwa uelewa wangu nilijua kua serikali hulipia dhahabu ili kuprint pesa zaidi au hulipia nini mkuu..?Huu mfumo wa kutumia gold standard ulishaachwa. Sasa pesa zote ni fiat, ikimaanisha kuwacthamani yao inatokana na serikali kusema zinathamani lakini hazihusiani na reserve ya dhahabu ya nchi.
Nafikiri ni makubaliano. Kama kampuni ipo Uswiswi na inataka uilipe kwa US au pesa ya Uswiswi, utailipa kwa hiyo. Kama ni kampuni ya Ujerumani na wanataka uwalipe kwa Euro basi utafanya hivyo.Asante kwa kunielewesha je ...ila mie kwa uelewa wangu nilijua kua serikali hulipia dhahabu ili kuprint pesa zaidi au hulipia nini mkuu..?
Nanukuu " hivyo ndo gold standard ilivokufa na makaratasi yakaanza kuchapishwa na thamani ya pesa ikabaki kwenye matamshi ya serikali na imani kwa watu"Nafikiri ni makubaliano. Kama kampuni ipo Uswiswi na inataka uilipe kwa US au pesa ya Uswiswi, utailipa kwa hiyo. Kama ni kampuni ya Ujerumani na wanataka uwalipe kwa Euro basi utafanya hivyo.
Dhahabu ilitumika dunia ilipokuwa inatumia gold standard. Yaani nchi inachapisha pesa kulingana na kiasi cha dhahabu ilichonacho. Wakaona hilo linacheleweshs uchumi kukuwa. Wakaweka ratio. Kama una dhahabu 10 basi uweze kuchapisha pesa 20, baadaye wakaongeza tena, kama una dhahabu kumi basi uweze chapisha pesa 50. Kisha wakaja, kama una dhahabu kumi basi uchapishe pesa 100.
Kabisakabisa, pesa ilikuwa ni risiti(stakabadhi ) ya kuonyesha kiasi cha dhahabu ulicho nacho.
Mwisho wakaja na kusema, unaweza chapisha pesa bila dhahabu. Hivyo ndivyo gold standard ilivyokufa na pesa kugeuka makaratasi yanayotegemea matamko ya serikali na imani ya watu kuipa thamani.
matumizi ya gold standard yana historia ndefu sana.
Hata benki za biashara hukopeshwa na benki kuu kwa mtindo huo. Mfano kama benki inaakiba ya bilioni 10 basi benki kuu wanaweza ikopesha Bilioni 20, 30 50 au yoyote kulingana na ratio iliwekwa na baenki kuu. So mara nyingi utakuta benki nazo ni madalali tu, pesa wanazokopesha na mtaji wao ni tofauti kabisa.